Messi Aendelea Kula Bata Kuukosa Mchezo wa Eibar.

Lionel Messi atakosa mchezo wa Barcelona na Eibar siku ya Jumanne baada ya kupewa mapumziko zaidi ya Krismasi.
Messi Aendelea Kula Bata Kuukosa Mchezo wa Eibar.
Lionel Messi akiwa na familia yake.

Nahodha huyo wa Barcelona yeye na familia yake walikwenda Rosario kwa kipindi cha sikukuu na hatarajiwi kurudi Catalonia hadi mwaka mpya, kabla ya mechi ya LaLiga dhidi ya Huesca mwezi Januari 3.

Barca ilirudi mazoezini siku ya Jumapili baada ya kupewa likizo ya siku nne kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Valladolid.

Klabu hiyo ilithibitisha Messi anatarajiwa kurudi katika vituo vya Camp Tito Vilanova baada ya mkutano wa ligi na vijana wa Jose Luis Mendilibar katika dimba la Camp Nou.

Kulingana na Sport, kocha mkuu Ronald Koeman alimpatia Messi ruhusa ya kukaa kwa muda mrefu nchini Argentina kwani anaonekana kumuweka mshindi mara sita wa Ballon d’Or akiwa fiti kabisa.

Baada ya kuanza kwa msimu mgumu kufuatia jaribio lake la kutaka kuondoka klabuni, Messi amepata fomu, akifunga mabao sita kati ya saba ya ligi mwaka 2020-21 katika mechi zake nane za hivi karibuni.

Barca wako nafasi ya tano katika LaLiga, alama nane nyuma ya vinara Atletico Madrid, wakiwa wamecheza mchezo zaidi.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

12 Komentara

    Vizuri Sana mwamba messi

    Jibu

    Hadi raha akirudi arudi na nguvu mpya

    Jibu

    Safi sana messi

    Jibu

    Messi Yuko makini mashabiki wanamkubali sana

    Jibu

    Hongera zako messi raha jipe mwenyewe

    Jibu

    Messi akirudi anarudi nanguvu mpya

    Jibu

    Mesi anajua anachokifanya hana shoo mbovu

    Jibu

    Bora ajitulizie na family yake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Bora amepata mda wa kupumzika akirudi anarudi na Kasi mpya

    Jibu

    Enjoy Messi

    Jibu

    Kwa raha zake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.