Hammon Mwanamke wa Kwanza Kufundisha Timu ya NBA.


 

Mwanadada Becky Hammon 43, amekuwa mwanamke wa kwanza kufundisha timu ya mpira wa kikapu NBA (San Antonio Spurs) katika msimu wa kawaida baada ya mikoba ya kocha mkuu Gregg Popovich hapo jana baada ya mchezo.

Hammon aliingia zikiwa zimebaki dakika 3:56 katika robo ya kipindi cha pili katika mchezo dhidi ya Los Angeles Lakers. Lakers walishinda mchezo huo kwa vikapu 121-107. Mwanadada huyo alikuwa msaidizi wa kocha aliyetimuliwa.

 

Ni wazi ni jambo kubwa. Ni wakati muhimu.” Hammon aliviambia vyombo vya habari

“Nimekuwa moja ya timu hii. Niliuzwa hapa mwaka 2007 (Nilipokuwa WNBA), kwahivyo nimekuwa San Antonio na sehemu ya shirika la Spurs na michezo na kila kitu kwa miaka 13. Nimewekeza muda mwingi na Wana muda mwingi wamewekeza kwangu kunijenga na kuniboresha.

Kwa kweli sijapata wakati wa kutafakari. Sijaangalia simu yangu, kwa hivyo sijui kinachoendelea nje ya Kituo cha AT&T usiku wa leo.” aliongeza Hammon

 


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

14 Komentara

    Vizuri Sana mdada wanawake tuna weza

    Jibu

    safi

    Jibu

    Vizuri Sana

    Jibu

    Wanawake tunaweza sana tu

    Jibu

    Mwanamke mwenye uwezo wa kipekee

    Jibu

    Wanawake tukiamua tunaweza sana

    Jibu

    Kweli wanawake wameamka

    Jibu

    Wanawake tupo juu

    Jibu

    Wanawake tuna weza

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Waooo! Congrats to u

    Jibu

    Hammon saf sana

    Jibu

    Yuko vzur

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.