ATP Cup 2021 Mambo Ni Moto!!

Kuelekea mashindano ya ATP Cup 2021 kimataifa, Novak Djokovic, Rafael Nadal, Dominic Thiem na Daniil Medvedev kuzipeperusha bendera za mataifa yao.

Mashindano ya ATP Cup 2021 yatashirikisha mataifa 12 tu, hii ni kutokana na mlipuko wa COVID19 na hivyo juhudi za makusudi zimefanyika ili kufanikisha mashindano haya.

Utaratibu wa kupata timu zitakazoshiriki ulizingatia nafasi ya mchezaji mmoja mmoja kwenye orodha ya wachezaji wa tenesi duniani.

Kwa sababu hiyo, mchezaji namba 1 duniani – Novak Djokovic ataipeperusha bendera ya Serbia, Rafael Nadal (namba 2 kwa ubora duniani) ataiwakilisha Hispania, bingwa wa US Open 2020 – Dominic Thiem (Austria) na bingwa wa ATP Finals – Daniil Medvedev (Urusi).

Timu zilizofuzu kucheza mashindano ya ATP Cup 2021 sambamba na wachezaji watakaoziwakilisha.
Sebia – Novak Djokovic Argentina – Diego Schwartzman
Hispania – Rafael Nadal Italia – Matteo Berrettini
Austria – Dominic Thiem Japani – Kei Nishikori
Urusi – Daniil Medvedev Ufaransa – Gael Monfils
Ugiriki – Stefanos Tsitsipas Canada – Denis Shapovalov
Ujerumani – Alexander Zverev Australia – Alex de Minaur

 

Uingereza ambao walipoteza mchezo wa nusu fainali msimu uliopita, watayakosa mashindano ya mwaka huu. Taifa hilo linaikosa nafasi hii kutokana na kwamba mchezaji bora wa nchi hiyo – Dan Evans anashika nafasi ya 30 kwenye orodha ya wachezaji bora duniani.

Droo ya nani atachuana na nani itafanyika Januari 20 ambapo timu 12 zitagawanywa kwenye makundi 4 ya timu 3 kila kundi. Mshindi wa kila kundi atafuzu hatua ya nusu fainali.


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

22 Komentara

    Habari njema hizo

    Jibu

    Good New

    Jibu

    Mambo yanazidi kupamba moto

    Jibu

    Niceupdate

    Jibu

    Mchezo niupendao

    Jibu

    Mchezo wa kuaminika

    Jibu

    Mambo yanazidi kutaladadi

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Mambo ni moto

    Jibu

    Good news.Mashindano mema

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Mambo nimoto

    Jibu

    Ngoja tuone itakuaje

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Wababe tu hapa

    Jibu

    Mambo yanazid kutarad

    Jibu

    Nice

    Jibu

    ngoja tuone itakuaje

    Jibu

    Covid tu isije kuingia kati

    Jibu

    Itakua hatari na nusu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.