Bado kumeendelea kuripotiwa visa kadhaa vya COVID19 nchini Australia. Kuelekea mashindano ya Australian Open 2021, wachezaji 72 kukaa karantini.
Hii ni baada ya kuripotiwa matokeo chanya ya vipimo vya COVID19 kutoka kwa wasafiri waliotumia ndege maalumu zilizoandaliwa na wasimamizi wa mashindano hayo.
Kati ya 72, wachezaji 25 ambao walikuwa wameshafuzu kucheza mashindano haya walikuwepo kwenye ndege iliyotoka Doha kwenda Melbourne na sasa watakaa karantini kwa siku 14.
Wachezaji wengine 47 (akiwemo Heather Watson) tayari walishaanza kukaa karantini na kumekuwa na maneno mengi ya kutopendezwa na utaratibu uliowekwa na wasimamizi wa mashindano hayo.

Taarifa kutoka Australian Open imeripoti, ” matokeo chanya ya COVID19 yameripotiwa kutoka kwa msafiri aliyeingia Melbourne akitoka Doha na ndege ya saa 11:30 alfajiri.
“Msafiri huyo sio mchezaji na hakuwa na maambukizi wakati alipokuwa anatoka Doha. Kulikuwa na wasafiri 58, 25 wakiwa ni wachezaji.”
Bingwa mara mbili [Victoria Azarenka], bingwa wa 2016 [Angelique Kerber], aliyewahi kuwa bingwa wa US Open [Sloane Stephens] na aliyewahi kuwa bingwa wa dunia [Kei Nishikori ] ni miongoni wa waliokutwa na maambukizi ya COVID19.
Pokea mualiko wa Meridianbet na Pragmatic Play kutengeneza mkwanja kwenye kasino ya mtandaoni sasa. Jiunge sasa kupata ishindi huu.



warda
Duuu hii sio poa
Venerose
Mbona kazi ipo
Sarah
Duu ni shida
Magdalena
Ilo Sasa ni balaa kubwa
Adelta
Hii gojwa sio poa
Sabrina
Duuh hatari Sana corona inatishaa
Dorophina
Hali inazidi kuwa mbaya zaidi
Rahmal
Atali sana ugonjwa kiboko
Hopemwaikuka
Majanga haya
felister
hivi huu ugonjwa utakujaga kuisha kweli
Shakila mrope
Polen san
Mwanahamisi
Corona sio poa
Ernest Kimeru
Hali tete sana
Issa
Korona shida
Angelina
Ni jambo la hatari
Lydia Emmanuel Magoti
Duuh sio poa
Neema juma
Mbona balaa kwa wenzetu hukoo
Sania
Corona ni hatari sana