Kiungo wa timu ya Portland Trail Blazers inayocheza Ligi ya NBA – Jusuf Nurkic, atakosekana uwanjani kwa muda wa wiki 6 baada ya kufanyiwa upasuaji.
Nurkic alifanyiwa upasuaji baada ya kuvunjika kifundo cha mkono wake wa kulia kwenye mchezo waliopoteza kwa pointi 111-87 dhidi ya Indiana Pacers wiki iliyopita.

Mkurugenzi wa uendeshaji wa klabu ya Trail Blazers, alithibitisha taarifa ya Nurkic kufanyiwa upasuaji siku ya Jumanne na ataendelea na matibabu yatakayomuweka nje ya uwanja kwa wiki 6.
Jusuf Nurkic anawastani wa kufunga pointi 9.8, kucheza mipira 7.7 iliyokufa na kutoa pasi 2.8 kwenye kila mchezo msimu huu.
Pokea mualiko wa Meridianbet na Pragmatic Play kutengeneza mkwanja kwenye kasino ya mtandaoni sasa. Jiunge sasa kupata ishindi huu.



Venerose
Pole sana
Magdalena
Pole Sana kijana ndo changamoto izo
Angelina
Pole yake
Rahmal
Pole sana
Adelta
Pole yake mungu amfanyiye wepesi apone arudi kama mwanzo
Dorophina
Pole yake jusuf
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole yake
Hopemwaikuka
Get well soon
felister
pole yake
Neema juma
Duu pole yake
Ester mmakasa
Get well soon jusuf nurkic.
Janeflora malisa
Pole yak
Shakila mrope
Pole yake
Sabrina
Pole sana
Sarah
Pole sana
warda
pole yake