Guardiola Anamfananisha Moyes na Buddha

Pep Guardiola anasema ana ndoto za kuiga utulivu wa David Moyes ‘kama Buddha’ wakati Manchester City inajiandaa kutoana jasho na West Ham siku ya Jumamosi.

Moyes amerejea katika EPL baada ya kuvifundisha vilabu kama Manchester United, Real Sociedad na Sunderland na kuwarudisha Hammers kwenye kiwango thabiti kitu kilichoonekana kuwa kigumu kwa soka la Ulaya.

Guardiola alimsifu Moyes kwa maisha yake marefu katika ukufunzi na, kinyume na baadhi ya taarifa zake hapo awali, alipendekeza angependa kuwa na kazi ndefu kama hiyo.

Guardiola alisema: “David Moyes – nampenda mtu wa aina hii, kama Roy Hodgson. Wamekuwa na muda mrefu sana kwenye soka. Ningependa kuwa kocha kwa miaka mingi na nina shauku hii ya kuwa meneja na kufanya kazi hiyo.

“Ana uzoefu mwingi. Ninaota siku moja kufika katika nafasi hii, ambapo kila kitu ni shwari. Wanaishi kama maisha ya Buddha – katika wakati mzuri na mbaya wanakuwa watulivu.

“Daima ananijali. Siwezi kusahau mchezo wangu wa kwanza kwenye Ligi Kuu ilikuwa dhidi ya Sunderland. Alikuwa meneja huko na alikuwa mwema sana, alinipa ushauri kuhusu Ligi Kuu.


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

CHEZA HAPA

11 Komentara

    Asante kwa taalifa

    Jibu

    Asanteni kwa makala

    Jibu

    Kila mtu na uwezo wake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hawawezi kufanya kila mtu na uwezo wake

    Jibu

    Kila mtu na kiwango chake

    Jibu

    Asante kwa taarifa#meridianbettz

    Jibu

    Kila mtu nauwezo wake

    Jibu

    Mmh

    Jibu

    Guardiola anaanza sifa kama klopp

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.