Katika NBA hapo jana, Steph Curry alishindwa kuiokoa timu yake kuepuka kichapo cha 119 – 114 baada ya vita kali yake na Jason Tatim. Hayo yalitokea katika mechi ya kukata na shoka kati ya Boston Celtics na Golden State Warriors.
Steph Curry alikuwa nyota wa mchezo huo akiibuka na jumla ya alama 47, akifuatiwa na Jason Tatum aliyepata alama 44. Jana Tatum alionekana kuwa katika wakati mzuri na akafanikiwa kuisaidia timu yake kupata ushindi wa sita mfululizo msimu huo.

Msimu huu warriors hawajawa na mwenendo mzuri sana huku wakishika nafasi ya tisa ya msimamo katika Western Conference, wakati Celtics wakishika nafasi ya nne katika Eastern Conference.
Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.



Adelta
NBA pole Sana
Venerose
NBA muongeze bidii
Sarah
Poleni NBA
warda
Pole yao jamani