Roberto Firmino ambaye ni msakata kabumbu nafasi ya mshambuliaji wa klabu ya soka ya Liverpool Roberto Firmino ameweka wazi kwamba Liverpool ililazimika kubadilisha mtindo wa uchezaji wake mara baada ya uhamisho wa mshambuliaji wa Brazil, Philippe Coutinho.
Coutinho alihamia Barcelona ya kule Hispania. Pia, mwandishi Rory Smith ana imani kuwa Firmino ataifurahisha sana Bayern Munich na kumsajili iwapo mshambuliaji Lewandowski ataondoka!


Povel
Habar njema
SADICK
Mwisho wa siku Liverpool ilikuwa vizuri zaidi baada ya kuondoka Coutinho#meridianbettz
Issa
Barbosa mwenye liver yake