De Boer Aacha Kazi Uholanzi Baada Ya Kuondolewa Euro 2020

Kocha mkuu wa Uholanzi Frank De Boer ametangaza rasmi kuachana na timu hiyoikiwa ni siku mbili tu baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Euro 2020 na Czech Republic.
De Boer ambaye ana miaka 51 alichukua nafasi ya ukocha wa timu ya Uholanzi akichukua mikoba ya Ronald Koeman ambaye alijiunga na Barcelona mwaka uliopita.

Kitendo cha timu ya taifa ya Uholanzi kuachana na kocha huyo kuna kuja kutokana na ukweli kuwa pande mbili hizo zilifikia makubaliano kuwa moja ya kipimo cha kocha huyo kusalia katika timu hiyo ni mchezo mzuri wa timu katika michuano ya Euro.

de boer

Baada ya kuachana na timu hiyo, De Boer alieeleza kuwa kabla ya kuchukua kazi hiyo alijua kutakuwa na presha kubwa sana katika majukumu yake hususan kuelekea kwenye michuano ya kombe la duniani.

Lakini presha hiyo imeongozeka sasa hasa baada ya timu yake kuondolewa na anahisi jambo hilo sio sahihi sana kwa afya yake, hivyo ananiona ni muhimu kwa yeye kuachana na kazi hiyo.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.