Uchambuzi, Vikosi na Odds: Tottenham vs Chelsea

Chelsea watakuwa wa Tottenham katika mchezo wa debi ya London ambapo The Blues watakuwa katika harakati za kuendeleza rekodi ya kutofungwa msimu huu kwenye Premier League siku ya Jumapili majira ya saa 18:30 pm.

Taarifa za Timu

Tottenham itawakosa wachezaji kadhaa ambao ni Lucas Moura na Steven Bergwijn ambao waliumuia katikati ya wiki katika michuano ya Europa Conference League siku ya Alhamisi.

Japhet Tanganga bado anaitumikia adhabu, Giovani lo Celso, Cristian Romero na Davinson Sanchez bado wapo karantini lakini Son Heung-min na Eric Dier wapo kwenye shaka la kukosa mechi hii.

Kikosi cha Thomas Tuchel hakiwa majeruhi wapya lakini wanaweza kubadili kikosi kilichocheza katika Champions League siku ya Jumanne.

N’Golo Kante amerejea kikosini baada ya kuugua majeraha lakini Christian Pulisic yupo nje sababu ya jeraha la kifundo cha mguu.

Rekodi za Kukutana
Tottenham imeruhusu magoli mengi 103 katika Premier League dhidi ya Chelsea

Spurs wameshinda mara saba katika michezo 58 ya Premier League waliyokutana wame droo 20 na kupoteza 31.

Chelsea inaweza kupata ushindi wa tatu mfululizo katika Premier League dhidi ya Tottenham kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2005.

Kikosi cha Tottenham Kinachoweza kuanza: Lloris; Emerson, Sanchez, Romero, Reguilon; Hojbjerg, Skipp; Gil, Alli, Son; Kane

Kikosi cha Chelsea Kinachoweza kuanza: Mendy; Azpilicueta, Christensen, Rudiger; James, Jorginho, Kovacic, Alonso; Mount, Havertz; Lukaku

ODDS TAMU KWAAJILI YAKO

Timu zote zifunge goli [GG odds ni 2.10]
Mechi iishe kwa magoli yasiyozidi mawii [Under 2.5 odds ni 1.70]
Mechi iishe kwa matokeo ya 1-1 [ Correct score 1-1 odds ni 9.60]

BASHIRI HAPA


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.