Xavi Anaizingatia Al Sadd Tu kwa Sasa

Kocha wa klabu ya nchni Qatar Al Sadd, Xavi Hernandez amesisitiza kwamba anazingatia zaidi kazi yake na Al Sadd licha ya kuripotiwa anajipanga kuchukua mikoba ya kuwa kocha mkuu wa Barcelona.

Baada ya Ronald Koeman kufungishwa vilago siku ya Jumatano baada ya kupokea kichapo cha 1-0 kutoka kwa Rayo Vallecano kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2002 imewafanya The Blaugrana kuachwa alama tisa kutoka kwa viongozi wa LaLiga Real Sociedad.

Alipoulizwa juu ya uwezekano wa kurejea Camp Nou kama kocha mkuu  siku ya Alhamisi Xavi alisema: “Ninazingatia kazi yangu na Al Sadd na siwezi kuongea chochote kile.”

Xavi aliweza kufunga mabao 85 na kutoa asisti 184 katika michezo 767 alipokuwa mchezaji wa Barcelona.

Barca wanajiandaa na mchezo wa Jumamosi dhidi ya Alaves wakiwa chini ya kocha wa muda Sergi Barjuan vilevile watakuwa na mechi ya Ligi ya Mabingwa siku tatu badaye.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.