Conte Achekelea Kupata Sare Goodison Park

Bosi wa Tottenham Antonio Conte amefurahia kuondoka na alama moja katika uwanja wa nyumbani wa Everton (Goodson Park) kwenye mchezo wake wa kwanza wa Premier League tangu achukue mikoba ya kuinoa Spurs.

Conte Achekelea Kupata Sare Goodison Park

Licha ya kutopata ushindi kwenye mchezo huo Conte alisema ” Binafsi nina furaha kwa sababu ya tofauti na ya kwanza ni kwamba Goodison Park siyo sehemu rahisi kwenda kucheza haswa unapokuwa kwenye wiki ya kwanza Nimefurahishwa na wachezaji wangu, sio klabu,” Conte aliongea na waandishi.

“Baada ya kucheza mchezo siku ya Alhamisi nilifurahi kuona baadhi ya mbinu hakika tunaweza kuimarika na tuna nafasi ya kuendelea kuboresha zaidi kwa hali ya kimbinu, Kimwili na Kiakili.

Katika mchezo huo Tottenham haikufanikiwa kupata shuti hata moja lililolenga lango katika kipindi cha pili kwa mara ya kwanza tangu msimu 2003-04.

“Nadhani tulifanya makosa mengi kwenye pasi za mwisho, kama tungepiga basi za mwisho kwa usahihi tungepata pata nafasi nyingi za kufunga.


Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.