Bale Kuukosa Mchezo Dhidi ya Ubelgiji

Bale hatakuwepo kwenye kikosi cha Wales kitakacho menyena na timu ya taifa ya Ubelgiji kwenye mchezo wa kufuzu kombe la Dunia siku ya jumanne.

Gareth Bale ambaye siku ya jumamosi alikuwa anasherekea mchezo wake wa mia moja(100) kuichezea timu yake ya taifa ya Wales, ambapo alicheza kwa dakika 45, baada ya kukaa nj’e kwa muda mrefu kutokana na majeruhi.

BALE

Gareth leo jumatatu amejitenga na timu na kufanya mazoezi peke yake, shirikisho la mpira wa miguu nchini Wales baadae watatoa tamko rasmi kama Bale atakuwepo kwenye kikosi cha timu hiyo kwenye benchi katika mchezo dhidi ya Ubelgiji au hatokuwepo kabisa.

Kikosi cha Robert Page kinahitaji angalau alama moja tu kwenye mchezo wa jumanne ili wajihakikishie nafasi ya pili kwenye kundi E ili wapate nafasi ya kwenda kucheza play off.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.