ZangrIllo Raisi Mpya wa Klabu ya Genoa

Zama za Enrico Preziosi kwenye klabu ya genoa sasa zimekwisha, klabu ya Genoa imemtangaza mmiliki mpya wa klabu hiyo ambayo ni kampuni ya 777 Partners na Zangrillo ndiye rais mpya wa klabu hiyo.

Manunuzi ya klabu ya Genoa yamekamilika leo na kampuni ya 777 Partners ndiyo wamiliki wapya wa klabu hiyo kongwe nchini Italia.

ZangrIllo

Alberto Zangrillo ameingia kwenye bodi ya wakurugenzi kwenye viunga vya Grifone na amechaguliwa kama rais mpya wa klabu ya Ligurian(Genoa)

Klabu ya Genoa hivi karibuni imepitia mabadiliko makubwa na kumfuta kazi kocha wake wa awali na mikoba kukabidhiwa Andriy Shevchenko na kwa sasa wanampango wa kumtafuta mkurugenzi mpya wa michezo mpya pia.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.