Klabu ya West Ham imezuiwa kuuza tiketi kwenye mchezo wao wa unaofwata wa nyumbani kwenye michuano ya UEFA Europa League kutokana na mashabiki wao kufanya fujo kwenye mchezo waliosafiri kwenda Genk.
Pia klabu ya West Ham imepigwa faini ya kiasi cha euros 34,500 kutokana na vurugu zilizosababishwa na mashabiki wao nchini Ubelgiji kwenye mchezo uliosha kwa sare ya 2-2 tarehe 4 November.

Kulingana na waraka uliotolewa na UEFA, West Ham United hawataruhusiwa kuuza tiketi na watalipa faini ya kiasi cha euros 30,000 ni kutokana na vurugu walizosababisha mashabiki wao na nyongeza ya euros 4,500 hii ni kwa ajiri kurusha vitu kwa mashabiki waliosafiri.
West Ham watasafiri kwenda jijini Rapid Vienna kwenye mchezo wa Europa League tarehe 25 novemba baada ya michezo ya kimataifa kuisha.
Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.


