Habari njema kwa mashabiki wa EPL, Premier League imesaini dili nono na kituo cha televisheni cha NBC kwa miaka 6 ijayo.
NBC ni kituo cha televisheni cha nchini Marekani ambacho, mwaka 2015 NBC waliingia makubaliano na EPL kuonesha michezo ya ligi hiyo kwa kiasi cha £740M. Makubaliano haya yanamalizika msimu huu.

Mkataba mpya kati ya pande hizi unathamani ya £2bn na utaanza kufanya kazi kuanzia msimu wa 2022/23 mpaka 2027/28.
Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.


