EPL na NBC Wasaini Dili Nono.

Habari njema kwa mashabiki wa EPL, Premier League imesaini dili nono na kituo cha televisheni cha NBC kwa miaka 6 ijayo.

NBC ni kituo cha televisheni cha nchini Marekani ambacho, mwaka 2015 NBC waliingia makubaliano na EPL kuonesha michezo ya ligi hiyo kwa kiasi cha £740M. Makubaliano haya yanamalizika msimu huu.

Mkataba mpya kati ya pande hizi unathamani ya £2bn  na utaanza kufanya kazi kuanzia msimu wa 2022/23 mpaka 2027/28.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.