Tuzo za Globe Soccer Kufanyika Dubai, Disemba 27

Sherehe za ugawaji tuzo ya Globe Soccer kwa wanasoka zitafanyika huko Dubai katika ukumbi wa Armani Pavilion katika Hoteli ya Armani Dubai mwezi Desemba 27.

Tuzo za Globe Soccer Kufanyika Dubai, Disemba 27
Washindi wa tuzo ya Globe Soccer 2020

Cristiano Ronaldo, Mohamed Salah, Lionel Messi, Kylian Mbappe, Robert Lewandowski, Lucy Bronze na Alexia Putellas ni mionongi mwa waliyo orodheshwa kwa toleo la 12 la Tuzo za Dubai Globe Soccer.

Mashabiki wamewapigia kura wagombea wanaowapenda zaidi kuendelea hadi awamu ya pili ya upigaji kura.

Awamu ya pili ya upigaji kura sasa iko wazi kwa umma kupiga kura zao na kusaidia kuchagua mshindi katika kila kipengele cha tuzo.

Moja ya kategori zinazotarajiwa sana – Mchezaji Bora wa Mwaka wa Wanaume – ni Ronaldo, Messi na Lewandowski wanaoshindana, pamoja na majina mengine maarufu, Mbappe na Karim Benzema.

wanawake wanawania kipengele cha mchezaji bora wa kike wa mwaka ni, Jennifer Hermoso (Barcelona), Alexia Putellas (Barcelona), Alex Morgan (Orlando Pride), Sam Kerr (Chelsea), Lieke Martens (Barcelona) and Lucy Bronze (Manchester City)

Awamu ya pili ya upigaji kura kwa mashabiki kusaidia kuchagua washindi wa tuzo za mwaka huu sasa imefunguliwa, na itafungwa Desemba 20.

Upigaji kura kwa Tuzo za Mashabiki wa TikTok badala yake utafanyika kwenye jukwaa la TikTok ambaye ni mdhamini wa taji hilo.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.