Ndoto ya Kylian Mbappe kujiunga na klabu ya Real Madrid sio siri tena, ile shauku yake ya kutaka kucheza kwenye timu inaotokea nchini Hispania sasa inakwenda kutimia baada ya kuingia makubaliano ya awali.
Baada ya miezi kadhaa ya tetesi kuhusu Kylian Mbappe wapi atakwenda, baada ya kumalizana na klabu yake ya Paris Saint Germain, sasa anajiandaa kuhamia kwenye klabu ya ndoto yake mwishoni mwa msimu kama mchezaji huru.

Kupatikana kwake huru hakutamfanya kuwa mchezaji wa bei chee la hasha, usajiri wake kwenda klabu ya real madrid utamfanya kuwa mchezaji analipwa pesa nyingi zaidi kuliko mchezaji yeyote.
Awali kulikuwa na taarifa kuwa Kylian Mbappe alikuwa anafikililia kuongeza mkataba na mimaba hiyo ya jijini ufaransa, kwa kusaini mkataba wa muda mfupi, lakini inaonekana kuwa hilo swala limetupiliwa mbali.
Mbappe alijiunga na PSG mwaka 2017 akitokea klabu ya As Monaco kwa usajiri wa mkopo kabla ya kusajiriwa moja kwa moja na klabu hiyo.
Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.


