Bondia Ilunga Junior Makabu (29-2,25 KO) raia wa Congo alitetea mkanda wake wa WBC uzani wa kati kwa kumdunda kwa pointi Thabiso Mchunu (23-6, 13 KO) wa Afrika Kusini pambano lililofanyika katika ukumbi wa Packard Music Hall huko Ohoi.

Makabu Amkung'uta Mchunu, Apania Pambano na Canelo

Sasa Canelo ambaye tayari ameshinda ubingwa wa dunia wa super welterweight, middleweight, super middleweight na light heavyweight atakaua akitafuta ubingwa wa tano ambao ni cruiserweight na bingwa wa WCB anatarajia mpinzani anayefuata kuwa ni Canelo.

Makabu ambaye alionekana kuwa mfalme wa kitengo hicho alisema: “Katika pambano langu lijalo dhidi ya Canelo, nitapiga ngumi na nitampiga KO,” Makabu alisema baada ya pambano hilo kwenye Ukumbi wa Muziki wa Packard, Warren, Ohio.


 

VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa