Kieran - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Kieran Trippier Atua St James’ Park.

Daily News

Hatimaye, Kieran Trippier amerejea Uingereza. Safari hii, atawatumikia mashabiki wa Newcastle United kule St James’ Park. Trippier anarejea kwenye EPL akitokea Atletico Madrid ambapo alikwenda huko kupitia Tottenham Hot Spurs. …

Sergino Dest Kumrithi Kieran Trippier?

Daily News

Atletico Madrid wanaweza kumgeukia nyota wa Barcelona Sergino Dest wakati Kieran Trippier akitarajiwa kuondoka. Ripoti zinataja kuwa Trippier anaelekea kuondoka Atletico baada ya kuwepo kwa zaidi ya miaka miwili na …

Kieran Trippier Anataka Kurejea EPL

News

Mlinzi wa Atletico Madrid Kieran Trippier inasemekana ameamua kurudi Ligi Kuu msimu huu wa joto wakati kukiwa na maoni kwamba Manchester United wanapendezwa na huduma yake. Mchezaji huyo mwenye umri …

Kieran Trippier Kulimwa Adhabu na FA!

Football

Nyota wa Uingereza, Kieran Trippier ambaye ana kipiga klabuni Atletico Madrid anatarajiwa kulimwa adhabu ya kufungiwa kucheza soka kwa mda kwa kukiuka taratibu za FA inayohusiana na kukisia uhamisho wake …

Arteta Apewa Paundi 500m za Usajili

News

Mikel Arteta anaripotiwa kupewa kitita cha paundi milioni 150 za usajili wa msimu wa joto huku Arsenal wakipania kuongeza dau lingine la kuwania taji la Premier League. Ukiwa na meridianbet …

1 2 3 4 5 6 7