Maitland-Niles - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester United wametoa ofa kwa kiungo wa kati Mfaransa Paul Pogba, 28,ya mkataba wenye thamani ya pauni 500,000 kwa wiki ili aendelee kubakia katika klabu hiyo. Tetesi …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Arsenal itapokea ofa ya mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 32, ambaye anaweza kuondoka katika klabu hiyo mwezi huu. Arsenal wamepeleka ofa ya euro milioni 70 (£58.3m) kumnunua …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, mshambuliaji Gareth Bale, 32, na kiungo Isco, 29, ndio wachezaji wanaopigiwa upatu kuondoka Real Madrid mwezi Januari, huku kandarasi za wachezaji wote wawili zikimalizika msimu wa joto. …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester City itaokoa pesa kutokana na mauzo ya mshambuliaji Ferran Torres, 21, kufadhili uhamisho wa mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Braut Haaland, 21, msimu wa joto. Arsenal …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Real Madrid haitajaribu kumsajili Kylian Mbappe, 22 mwezi Januari badala yake itatupa ndoano kwa mshambuliaji katika dirisha lijalo la kiangazi -mkataba wake na Paris St-Germain utakapotamatika. Tetesi …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Newcastle huenda wakatumia hadi pauni milioni 190 kumpata mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane, 28, na mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 22. Tetesi zinasema, Kocha wa …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Kiungo wa Ubelgiji, Youri Tielemans anatazamwa na Real Madrid, Barcelona na Manchester United wakati Leicester City ikijaribu kumfunga nyota huyo wa miaka 24 kwa mkataba mpya. Tetesi …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane, 27, amewaeleza wazi wawakilishi wake kwamba atakuwa tayari kuungana tena na Mauricio Pochettino Paris St-Germain. Arsenal watajaribu tena kusaini mkataba …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester United bado wanaendeleza juhudi za kumnasa mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane, 27. Tetesi zinasema, Arsenal wanajipanga kumsajili mshambuliaji Mfaransa Moussa Dembele. Mchezaji huyo mwenye …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Chelsea iko katika nafasi nzuri ya kumsajili mshambuliaji wa Argentine Sergio Aguero atakapoondoka Manchester City msimu huu wakati mchezaji huyo, 32, ameweka nia ya kusalia katika Ligi ya …

Arteta Anahitaji Wachezaji Wat

Daily News

Mikel Arteta anaripotiwa kushinikiza bodi ya Arsenal kuingia mikataba ya kuidhinisha wachezaji watatu kwenye dirisha la usajili wa majira ya joto. Washika bunduki walikuwa miongoni mwa vilabu vyenye mambo mengi …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Leicester City imeonesha nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Watford na England Nathaniel Chalobah, 26, siku ya mwisho ya usajili. Tetesi zinasema Liverpool imefanya mazungumza na beki …

Tetesi za Soka barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zainasema Paris St-Germain itafikiria kumuuza mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 22, mwisho wa msimu huu iwapo mshindi huyo wa kombe la dunia atakataa kuandikisha kandarasi mpya na klabu hiyo. …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema kutimuliwa kwa kocha wa PSG Thomas Tuchel kumeathiri matumaini ya klabu ya Real Madrid kumsaini mshambuliaji Kylian Mbappe kutoka klabu hiyo ya Ligue 1. Tetesi zinasema Atletico …

Mesut Ozil Anaungwa Mkono na Timu

Daily News

Mesut Ozil bado anaungwa mkono na wachezaji wenzake wa Arsenal. Nyota huyu hajajumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 wa Washika Mtutu kwa ajili ya kushiriki Ligi Kuu Uingereza. Mesut Ozil, …

UEFA Nations League: Vikosi Vyatajwa

Daily News

Kuelekea michezo ya UEFA Nations League, timu mbali mbali zimetoa orodha ya wachezaji watakaoshiriki muendelezo wa michezo hiyo. Gareth Southgate ametangaza kikosi chake cha Uingereza. Mason Greenwood na Phil Foden …

1 2