Kunako anga la NBA, Boston Celtics wamewavua rasmi ubingwa Toronto Raptors katika michezo ya Eastern Conference na kutinga fainali.
Katika mchezo uliokuwa wakukamilisha mzunguko wa miamba hii, Celtics waliibuka kidedea kwa ushindi wa pointi 92-87.
Boston Celtics nyota imewawakia kwenye NBA Play-Offs.
Almanusura mchezo uwe 90-90 baada ya mchezaji wa Raptors-Fred VanVleet kukosa nafasi ya kupata alama 3 kabla ya Kemba Walker kupachika mpira wa wazi na kupata alama 2 za ushindi kwa Celtics zikiwa zimesalia sekunde 12 mchezo kumalizika.
Jaylen Brown aliifungia Celtics pointi 21 na kucheza mipira iliyokufa mara 8. Sasa Celtics watakutana na Miami Heats kwenye mchezo wa fainali.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi zao wamefanya vizuri
Ernest
Naona Boston Celtics wanajambo lao msimu huu
Tatu
Hongera zao
Sauda
Boston wapo vizuri sana
aisha
Boston celtics nawakubali sana
Neema
Wamepambana hadii kimeeleweka
Samiah
Safi
warda
Nilijua Boston Watashinda tu mana sio kwa speed zile#Meridianbettz
Furahav
Safi
Mwanahamisi
Hongera zao
Dorophina
Boston msimu huu naona wanataka kuwa mabingwa
Gabriel
NBA naikubal sana ni miongon mwa lig niniazozipenda kuangalia
Magdalena
Boston Celtics wapo vizuri sana na wamejipanga
Elika
Hongera kwao wapo vizur
felister
pongezi kwao wamefanya vizuri
Sabrina
Boston wametishaa
Latifa juma mohamed
Hongera yao
Chiku
Shavu tuu