Camavinga: Ni Vizuri Kuhitajika na Vilabu Vikubwa.

Nyota wa Rennes Eduard Camavinga amekiri kwamba “ni vizuri pale vilabu vikubwa vikivutiwa na wewe” ikiwa anahusishwa na mabingwa watetezi wa LaLiga Real Madrid.

Camavinga: Ni Vizuri Kuhitajika na Vilabu Vikubwa.

Camavinga amekuwa akisita kuondoka katika klabu ya Lige 1 Rennes kwenda Real Madrid, ambao wamekuwa wakitamani kuinasa saini ya Camavinga.

Mbingwa watetezi wa Ligue 1 Paris Saint-Germain, mabingwa watetezi wa Serie A Juventus na Manchester Uited wote pia walikuwa wakivutiwa na kumnasa kiungo huyo wa 18.

“Ndiyo ni vizuri sana kama unatakiwa na vilabu vikubwa,” Camavinga aliiambia Canal ikiwa uvumi umezidi kuwa mkubwa kuhusus hatima yake. “Lakini mimi nakituliza kichwa.

“Mimi bado ni Rennes, tutasubiri mpaka mwisho wa msimu.

“Tutakutana mezani na tutapima hasra na faida kisha tutaamua.

Camavinga alicheza mchezo wa kwanza kwa timu ya vijana ya Rennes mwaka 2019 na haraka sana aliweza kuonesha kipaji chake na kikaonekana.

Mfaransa huyo amefunga goli moja na kutoa asisti 1 katika mechi 17 za ligi msimu huu na timu yake ipo katika nafasi ya 5 alama saba nyuma ya viongozi wa Ligue 1, Lyon baada ya kwenda nao sare ya 2-2 siku ya Jumamosi.


MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5

Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!

INGIA MCHEZONI

14 Komentara

    Kizuri kinajiuza

    Jibu

    Anakubalika sana hongera yake

    Jibu

    Yuko vizuli wanamkubali sana

    Jibu

    Kiwango chake kimeongezeka

    Jibu

    Ukiona mpaka virabu vikubwa vinakuhitaji ujue kiwango chako kimekua

    Jibu

    Kazi yake inaonekana

    Jibu

    Yuko makini sana

    Jibu

    Madrid ni klabu nzuri kwake camavinga

    Jibu

    Dogo yuko vzur sana

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    True say

    Jibu

    Muda wa Camavinga sasa

    Jibu

    Dogo anajua

    Jibu

    Jamaa yupo vizuri

    Jibu

Acha ujumbe