Kevin Durant Kurejea Uwanjani.

Mchezaji wa Brooklyn Nets- Kevin Durant yupo tayari kurejea uwanjani Jumapili hii dhidi ya Oklahoma City Thunder.

Kevin Durant alikosekana kwenye michezo 3 mfululizo kutokana na taratibu za kujilinda na COVID19, KD aliukosa msimu wa 2019/20 kutokana na majeruhi na alirejea tena uwanjani msimu huu.

Kyrie Irving

Licha ya KD kurejea uwanjani, kikosi cha Nets kitamkosa Kyrie Irving ambaye ameshakosekana kwenye michezo miwili iliyopita kwa sababu zake binafsi.


MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5

Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!

INGIA MCHEZONI

16 Komentara

    Bora alivyojikinga karudi na nguvu zaidi

    Jibu

    Kalibu sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Ni vizuri mashabiki tumemisi kuona maajabu yake

    Jibu

    Kinga ni bora kuliko tiba,karibu mchezoni

    Jibu

    Safi Sana karibu tena dimbani

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa kevin

    Jibu

    Habar njema sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Gud to hear this

    Jibu

    Namkubali sana Durant

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi Sana

    Jibu

Acha ujumbe