BEKI wa Kushoto wa Chelsea Benjamin James Chilwell amezungumiza hali ya majeruhi ya mchezaji mwenzake, ambaye ni nahodha wa timu klabu hiyo yenye maskani yake Stamford Bridge, Cesar Azpilicueta ambayo aliyapata kwenye mechi iliyopita ya Ligi Kuu. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Chilwell alizungumzia hali ya Cesar Azpilicueta, baada ya nahodha wa Chelsea kutolewa nje kwa machela kutokana na jeraha la kichwa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
“Nilikuwa mmoja wa wachezaji wa karibu sana na niliiona kwa wakati halisi, hakika haikuwa hali nzuri. Asante sisi kama wachezaji, na kisha wafanyikazi waliokuja, walichukua hatua haraka sana na kujaribu kumpa msaada bora zaidi tungeweza. Tuligundua alienda hospitali kufanya taratibu muhimu katika hali hii.
“Pia anawasiliana na mke wake na yuko thabiti hali ambayo ni nzuri kuichukua. Sote tunamfikiria na ni moja ya mambo ambayo ni makubwa kuliko mpira wa miguu, na sote tuko hapa kwa ajili yake.”
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.