Dean Henderson ataanza kwenye mchezo wa wikendi wa Manchester Derby na Ole Gunna Solskjaer amethibitisha kwamba David de Gea hatohusika kwenye mchezo huo baada ya kupewa muda wa kutosha wa kuwa na familia yake baada ya kupata mtoto wake wa kwanza.

De Gea alikosa pia mchezo dhdi ya Crystal Palace siku ya Jumatano usiku baada ya kuomba ruhusa ya kusafiri kwenda Spain ili kuwa karibu na mweza wake Edurne aliyekuwa akitarajia kujifunga mtoto ambaye wamepa jina la Yanay.

Mhispania huyo ataendelea kuwa na familia yake kwa muda aliyopewa na Henderson anajiandaa kucheza mchezo wake wa nne wa ligi kwa msimu huu ikiwa Man United wakiwa kwenye harakati za kumaliza kutofungwa kwa Manchester City ambao hawajafungwa katika michezo 21 mfululizo.

Solskjaer alitoa taarifa juu ya kupatikana kwa De Gea Ijumaa, akiwaambia waandishi wa habari: “Ni siku ya kupendeza kwa David. Unapokuwa baba labda ndio hisia nzuri zaidi unayoweza kuwa nayo.

“Nitampa muda anaohitaji kabla ya kurudi, aliuliza kurudi nyumbani na katika ulimwengu wa zamani atarejea akiwa yuko tayari tena.


Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx

Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.

Dean, Dean Henderson Kuanza Mechi ya Manchester Derby, Meridianbet

  CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa