Di Maria: Nilikaribia Kujiunga na Barcelona Kuungana na Messi

Angel Di Maria amesema kwamba yeye ni rafiki mkubwa Lionel Messi nje ya uwanja lakini  pia wametengeneza muungano mzuri ndani ya uwanja katika timu ya taifa ya Argentina na PSG.

Di Maria: Nilikaribia Kujiunga na Barcelona Kuungana na Messi
Angel Di Maria akifanya Mazoezi na Lionel Messi huko Parc des Princess

Di Maria ambaye aliwahi kuichezea Real madrid alikiri kwamba alikuwa amekaribia kujiunga na Barcelona mapema wakati wa kazi yake na winga huyo amekuwa akihusishwa kujiunga na Barca baada ya dili yake ya sasa kuisha huko Parc des Princes.

Nilikuwa karibu sana kwenda Barcelona,” Di Maria aliambia TNT Sports.

“Kama ningeenda ingekuwa ni kucheza naye tu, alipoondoka nilifurahi, ni jambo bora zaidi lililonipata, kucheza naye ni ndoto niliyoota, ni kitu cha kipekee.

“Mtoto ni wa ajabu, ni hatari. Saba Ballon d’Ors ni ajabu. Ni nusu ya kazi yake na tuzo nyingine zote za Ballon d’Or waliyopewa wengine, ikiwa ni tuzo ya bora zaidi duniani, basi. wangempa yeye Messi”


MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.