Mchezaji wa zamani wa Manchester United Rio Ferdinand anasisitiza kwamba vilabu vya Manchester United na Liverpool vimsajili Raheem Sterling ilikuokoa kipaji chake baada ya mchezaji huyo kuachwa gizani na Manchester City.

Sterling aliisadia Manchester City kutwaa mataji tangu atue Etihad akitokea Liverpool mwaka 2015, lakini muda wake wa kucheza umepunguzwa na kocha Pep Guardiola.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ungereza amecheza mara mbili kwa kuanza katika michezo sita ya City kwenye mashindano yotemsimu huu.
“Yupo Raheem Sterling” Amepoteza kujiamini kwa sababu ameondolewa kwenye timu,” Ferdinand alisema kwenye chaneli yake ya FIVE ya Youtube.
“Kama ningekuwa Liverpool, ningemnunua Sterling hata kesho tu… kama ningekuwa yeye nisingekwenda Barcelona au Real Madrid kwa sasa ndiyo maana nasema Liverpool Man United watamchukua.
Sterling alimaliza kama mmfungaji bora wa City kwa misimu miwili katika Premier League akiwa na mabao 20 katika michezo 33 ya EPL, na alizidiwa na Ilkay Gundogan (13) msimu uliyopita yeye akiwa na mabao 10.
Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.


