Uchambuzi Carabao Cup: Norwich vs Liverpool

Michuano ya Carabao Cup ikiwa imefikia raundi ya tatu kuendelea leo ambapo timu mbalimbali nchini Uingereza kujitupa viwanjani kutafuta nafasi ya kusonga hatua inayofuata hapa tunachambua mechi kati ya Norwich dhidi ya Liverpool.

Uchambuzi Carabao Cup: Norwich vs Liverpool

Taarifa za Timu

Todd Cantwell kiungo wa Norwich atakosa wa leo dhidi ya Liverpool kutokana na sababu za kibinafsi.

Bosi wa Canaries Daniel Farke ameshuhudia timu yake ikipoteza michezo yote mitano ya ufunguzi katika Premier League lakini walishinda kwa 6-0 dhidi  ya Bounermouth kwenye raundi ya pili katika michuano hii.

Ni kama atafanya mabadiliko kwa Christoph Zimmermann ambaye anatatizo la kifundo cha mguu na Przemyslaw Placheta ambaye ana COVID-19 pamoja na Cantwell

Wakati mchezaji wa Liverpool Curtis Jones atacheza mchezo wake wa 50 kwa The Reds na Jurgen Klopp anatazama kufanya mbadiliko kwenye kikosi.

Mabadiliko yanatarajiwa kuwa ni kwa golikipa Caoimhin Kelleher, mlinzi Nat Phillips na Takumi Minamino wote watacheza kwa mara ya kwanza msimu huu.

Wachezaji Alex Oxlade-Chamberlain na Divock Origi watakosa mechi hii sababu ya majeraha lakini kinda wa miaka 16 Kaide Kaide Gordon atacheza mchezo wake wa kwanza na timu ya wakubwa.

Kikosi cha Norwich kinachoweza kuanza: Gunn; Mumba, Kabak, Gibson, Giannoulis; Lees Melou, Gilmour, Rupp; Rashica, Sargent, Tzolis

Kikosi cha Liverpool kinachoweza kuaanza: Kelleher; Gomez, Phillips, Matip, Robertson; Milner, Keita, Jones; Oxlade-Chamberlain, Origi, Minamino

ODDS ZA USHINDI

Norwich ashinde au atoe sare na timu zote zifunge 1X & GG ODDS (3.55)

Liverpool ashinde ashinde au atoe sare na timu zote zifungane X2 & GG ODDS (2.08)

Mechi iishe kwa matokeo ya draw/ sare ODDS (4.11)


 

FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.