Harry Kane na Eric Dier watakutana na klabu yao ya zamani ya Tottenham Hotspur, wakati Bayern Munich watakapocheza mechi ya kirafiki kwenye majira ya joto mnamo tarehe 10 Agosti. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Kane na Dier kucheza dhidi ya Tottenham baada ya kuhamia Bayern mwezi Julai 2023 na Januari 2024 mtawalia. Mchezo huo, utakaopigwa kwenye Uwanja wa Tottenham Hotspur, ni sehemu ya Mashindano ya Kibingwa kwenye Pre-season ya Visit Malta.
Kane alijiunga na Bayern akiwa mfungaji bora wa kihistoria wa Tottenham kwa kufunga magoli 280 katika mechi 435 za mashindano, akiwa ametumikia miaka 12 katika klabu ya kaskazini mwa London. Mshambuliaji huyo wa England ameendelea kufunga mara kwa mara hata akiwa Bayern, akifunga magoli 37 katika mechi zake 35 za kwanza katika mashindano yote, ikiwa ni pamoja na rekodi ya kufunga magoli 31 katika msimu wake wa kwanza wa Bundesliga.
Kwa mechi nane zilizosalia za Bundesliga ya msimu wa 2023/24, mshambuliaji hatari wa Bayern Munich bado anaweza kuvunja rekodi ya Robert Lewandowski kwa idadi kubwa ya magoli katika msimu mmoja (magoli 41, 2020/21). Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.
Dier amekuwa kwenye kikosi cha Tottenham tangu 2014, akicheza sehemu kubwa ya mechi zake 364 za mashindano kama sehemu ya timu ambayo ilimjumuisha pia Kane. Eric Dier mwenye umri wa miaka 30 alijiunga awali na Bayern kwa mkopo wa miezi sita hadi mwisho wa msimu wa 2023/24, kabla ya mabingwa wa Bundesliga mara 11 mfululizo kutekeleza kifungu cha kufanya uhamisho wake kuwa wa kudumu.
Kane na Dier walihusika vizuri wakati Bayern ilipokutana na Tottenham mara ya mwisho, katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA msimu wa 2019/20. Bavarians walishinda 7-2 mjini London na 3-1 huko Munich, kuanzisha safari ya mwaka wa kihistoria wa kushinda mataji sita chini ya Hansi Flick. Kane alifunga katika mchezo wa nyumbani, lakini alikosa mchezo wa marudio kutokana na jeraha. Jisajili na Meridianbet upate bonasi za kasino kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.