Zlatan Ibrahimovic amesema kwamba “kila kitu kimewekwa sawa” yeye kuendelea kusalia Milan kwa msimu mpya.
Baada ya kuwa katika sekeseke la kutaka kutimka katika klabu ya Milan kwa sasa Zlatan amefikia muhafaka na klabu hiyo ya Serie A, na Milan walitweet Video yenye ujumbe uliyosema Ibrahimovic “Amerudi.”

“Hatimaye, tumemaliza kila kitu na ninarudi mahala ninapo jihisi nyumbani,’ alisema mkongwe huyo mwenye miaka 38.
“Sasa, ni wakati wa kuongeza bidii na kusonga mbele…Tuna hitaji kufanya kazi.
“Kama nilivyo wahi kusema sipo hapa kwajili ya kuuza sura, nipo hapa ili kuhakikisha tunapata matokeo mazuri na kuisadia timu, mwalimu na mahala ambapo AC Milan tumezoea kuiona ipo.
“Tumefanya vizuri sana kwa kipindi cha miezi sita iliyopita ingawa hatukufanikiwa kushinda taji lolote. Msimu huu tutakuwa pamoja kuanzia mwanzo, tunahitaji kuendelea na moto tuliyomaliza nao kucheza kwa bidii na kujitoa muhanga kufikia malengo.
“Salam! kwa mashabiki ni matumaini yangu hivi karibuni mtarudi uwanjani kuja kutusaidia sababu timu inawahitaji wote. Acha tuje uwanjani San Siro turukeruke pamoja!”
Ibrahimovic alikuwa anatarajia kubaki San Siro na tayari uwepo wake katika timu hiyo umekuwa ni muhimu tangu ajiunge mwezi Januari na kufanikiwa kufunga jumla ya magoli 11 katika michezo 20 pekee katika msimu 2019-20.
Maamuzi ya Ibrahimovic kuendelea na Milan ulichagizwa na kocha mkuu Stefano Pioli aliye ongeza mkataba mwezi Julai kufuatia kumaliza vizuri msimu.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Mwajumah
Asante kwa makala#Meridianbettz
rama
safiii ibrahimovic anendelee kukiwasha milan
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwake Movic kwakuyajenga kusalia Milan kwamsimu unaokuja
Neema
Habarii njema
Fatina mfigi
Kafanya Jambo zuri!!
JULIANA
Safi
Tatu
Ibrahimovic anaelea kusalia milan hili jambo zuri
Rose kapinga
Kazi nzurii
Sabrina
Inapendeza sana kwa kuendelea kusalia milan
Zeiyana
Ibrahimov kashazeeka akuna clabu yoyote inayo mtolea macho
jullie
safi sana
Hope mwaikuka
Inapendeza sana
Devotha
Hii ni habari nzuri kwa wapenzi wa millan
Furahav
Safi
Dorophina
Ni bora Ibrahimovic alivyo salia milan
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Leonard
Habari nzuri
Sadick
Soka la Italy ni la mbinu zaidi kuliko nguvu, kwa umri wake angekuwa ligi ya EPL angeshindwa kufanya chochote kwa sababu wachezaji wanatumia nguvu zaidi#meridianbettz
aisha
Ibrahimovic kazi nzuri endelea kukiwasha millan
Povel
Natumain msimu ujao milan itakuwah ya moto Sana
Edgar
Safi sana
Asia Abdy
Habar njema
Issa
Safi ibra
Samira
Habari nzuri sana hii
Aziza mushi
Habari njema Sana 👍
Amiri Kayera
Jambo zuri mtu mzima dawa
Adelta
Inapendeza sana@meridianbettz
Latifa juma mohamed
Hatimaye, amemaliza ctofahamu Ibrahimovic anajihic yupo nyumbani,’ mkongwe huyo miaka 38, kuendelea Milan Safi Sana.
Janeflora malisa
Nice
Ester jackson
Kwa miaka yake kupata usajili nivigumu sana hata hapo kwenyewe wanaweza kumsajili mwaka 1 tu ila kwa timu nyingine hawamchukui kabisa
Samiah
Nice
Theckla
Big up kwake movic
Fatuma kasomo
Jambo zuri
Theonestina
Safi sana
warda
Bora wameyamalizi#Meridianbettz
Sauda
Kafanya jambo la muhimu sana
Ernest
Pongezi kwa uongozi wa Ac Milan kwa kumbakiza Ibrahimovic
Johnmary joel
Maeleawano ni jambo la msingi hongereni#meridianbett
Mwanahamisi
Jambo zuri sana
felister
safi
magdalena
pongezi kwako movic kacheze mpira sasa
Salma ngende
Habari njema
aisha
Mmh zlatan milan ndio pako hapo
Omary lukumbi
Izlatain bora alivyo baki
Janeflora malisa
Safi sana
Agness
Ni habari njema
Rehema
Jambo zuri
marry
aongeze bidii
Rehema Dickson
Asante kwa makala#Meridianbettz
farida ahmadi
Itakuwa vizuri Sana ibramovic
Shafii
Kwa umri aliokua nao na uwezo wa kutikisa nyavu atawasaidia milani.
Saupha mohamed
Mambo zuri
Caroline
Tunataka ulete mafanikio millan
David Pere
Kwa miaka yake kupata usajili nivigumu sana hata hapo kwenyewe wanaweza kumsajili mwaka 1 tu ila kwa timu nyingine hawamchukui kabisa
Nasra
Safii
Gabriel
Ibrahimov kashazeeka
MnonganeJR
Fundi mmoja