Tottenham wamefanikiwa kukamilisha dili ya usajili wa beki wa kulia Matt Doherty kutokea Wolves kwa ada ya uhamisho inayoripotiwa kufika £14.7m.
Spurs wamethibitisha hilo siku ya Jumapili kwamba usajili huo ni wa muda wa miaka minne na Doherty ata vaa jezi namba mbili.
Mchezaji huyo kutoka Jamuhuri ya Ireland Doherty amecheza michezo 50 katika mashindano yote na kwa upande wa Premier League msimu uliyopita alifunga magoli saba.
Tottenham imewalazimu kumnunua beki huyo wa upande kulia baada ya kumuuza Kyle Walker-Peters kwenda Southampton huku dalili zikionesha huenda Serge Aurier akaondoka klabuni hapo.
Doherty amekuwepo Wolves kwa kipindi cha miaka 10, pia alishaichezea timu hiyo katika Championship na League one.
ujio wake umeongeza idadi usajili wa Spurs wakati wa dirisha hili la usajili baada ya kuwanasa kiungo Pierre-Emile Hojbjerg na golikipa Joe Hart.
Tottenham watawaalika Everton katika mchezo wa ufunguzi katika Premier League mchezo huo utapigwa tarehe 12 mwezi ujao, majira ya 17:00 saa za Africa Mashariki.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Povel
Habar njema kwa mashabik wa spurs kila la kheri
Mwanahamisi
Gud news
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwamashabiki Tottenham
Saupha mohamed
Habari njema sana
farida ahmadi
Habari njema Sana kwa mashabiki wa totenham
Tatu
Habari nzuri kwa mashabiki wa tottenham
rama
safi sana usajiri mzuri huu tottenham
Nasra
Safii sana
felister
karibu spurs Doherty
Sadick
Hongera Matt Doherty. Wakati Pochettino akiwa Kocha wa Tottenham ilionekana na wachezaji wengi wenye vipaji vingi na baada ya kuja Mourinho inaonekana kama vile haikuwa na wachezaji wanatakiwa kusajiriwa upya karibia wote. Kuna haja Mourinho kubadili namna yake ya kuongoza timu awe mwalimu zaidi kuliko kufikiria kusajiri kila leo#meridianbettz
Rose kapinga
Safii ni beki mzuri sana!!!
Ernest
Hapa nampa Mourinho Big up kwa kumnyakua Doherty sababu anafahamu zaidi mpira wa pale uingereza hivyo kuingeza uimara katika kikosi chake, Harry Kane na wengine watakuwa na kazi moja tuu kucheka na nyavu, Naiona Spurs ikirudi kwenye chat
Hope mwaikuka
Usajil huko vzur sana
JULIANA
Inapendeza
Amani
Usajili mzuri Ila Jose anaitaji kusajili zaidi ili apate timu bora
Caroline
Habari njema
Mwajumah
Habari njema kwa mashabiki wa spur Kila la kheri#Meridianbettz
Rehema
Inapendeza sana
Furahav
Habari njema.
Fatina mfingi
Habar njema
Neema
Inapendeza sana
jullie
hongera zao
Sabrina
Hongera sana Matt nenda kaitumikie spurs
Zeiyana
Kwa usajiri huu wanao fanya Tottenham inawapa molali mashabiki..!mourihno ataki kurudia makosa tena
Devotha
Habari njema sana karibu spurs
Dorophina
Habari njema kwa mashabiki wa spurs kila lakheri Doherty
lombo
habar njema
Leonard
Safi
aisha
Usajili umekaa powa sana
Edgar
Nice
Asia Abdy
Safii
Issa
Totenham safi
Aziza mushi
Good
Samira
Tottenham wapo vizuri
Amiri Kayera
Usajir mzur wa kuimalisha kikosi chao
Adelta
Good@meridianbettz
Latifa juma mohamed
Nice news kwa mashabiki wa spurs.
Janeflora malisa
Hbr njm
Ester jackson
Pongezi sana kocha Mourinho kwa usajili huu
Theckla
Pongezi kwao tunasubiri kuona matunda ya usajili
Theonestina
Habari njema Sana kwetu
Fatuma kasomo
Habari njema
warda
hongera yao
Sauda
Usajili mzuri
Johnmary joel
Hongera mmejipanga msimu huu utakua poa sana#meridianbett
magdalena
safi sana spurs usajili umetulia
Salma ngende
Safi sana
aisha
Dohety bonge la mchezaji
Omary lukumbi
Safi sana spurs
Janeflora malisa
Nice
Agness
Safii
Khadija
pongezi sana kocha mourinho
Rehema Dickson
Tottenham wapo vizuri
marry
nice
Shafii
Imekaa poa.
David Pere
Habari nzuri kwamashabiki Tottenham
Gabriel
kumnyakua Doherty sababu anafahamu zaidi mpira wa pale uingereza hivyo kuingeza uimara katika kikosi chake, Harry Kane na wengine watakuwa na kazi moja tuu kucheka na nyavu, Naiona Spurs ikirudi kwenye chat