Beki kisiki wa Barcelona Dani Alves amewataja mabeki wa upande wa kulia anaowakubali kwa sasa katika soka ulimwenguni.
Amemtaja Trent Alexander-Arnold kama mchezaji mwenye ujuzi wa hali ya juu kabisa, Reece James pamoja na Achraf Hakimi
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil anachukuliwa kuwa mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kuchukua nafasi hiyo kutokana na uchezaji wake akiwa Barca.
Lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38 amefurahishwa na nyota wa Liverpool, Chelsea na Paris Saint-Germain ambao wameibuka kuwa baadhi ya wachezaji bora.
“Namkubali sana Trent,” Alves aliiambia FourFourTwo. “Ni mchezaji mzuri sana huyu mtu ana ujuzi wa juu kabisa.
“Pia napenda kumtazama Reece James na Achraf Hakimi
“Wachezaji hao wote watatu wana sifa tofauti na mtindo tofauti lakini wanajua jinsi ya kufanya kazi.
3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!
Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.