Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland anatarajia kujiiunga na Manchester City majira haya ya kiangazi na dili ya kutua Etihad inatarajiwa kukamilika wiki hii kwa mijubu wa maripota.

Man City Kukamilisha Uhamisho wa Haaland Wiki Hii

Fowadi huyo wa kimataifa wa Norway amekuwa akihusishwa na vilabu vikubwa vya Ulaya lakini sasa Ligi ya Premia inamtarajia mchezaji huyo.

Kwa mujibu wa The Athletic, Haaland atahamia City msimu huu wa joto na makubaliano binafsi kati ya mchezaji na klabu tayari yamefanyika uthibitisho unatarajiwa kufanyika wiki hii.

Dortmund wanatarajia kupokea ujumbe kutoka na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Uingereza na watalipa kiasi ambacho ni takriban paundi milioni 63 kama kipengele cha kuuzwa kwa mchezaji huyo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa