Baada ya Liverpool, Tottenham, Manchester United kujitupa viwanjani siku ya Jumamosi leo Premier League iliendelea kwa mitanange kadhaa.
Chelsea waliwakaribisha Newcastle katika dimba la Stamford Bridge ingawa ubora wa mchezo haukuwa mzuri sana lakini kulikuwa na wakati mmoja wa ubora kutoka kwa Chelsea. Pasi kutoka kwa Jorginho iliyomfikia Kai Havertz ilikuwa nafasi ya kipekee na muhimu ni mpira mzuri kabisa, Havertz anafanya mguso mmoja na kuudhibiti na kisha anamaliza. Inasisimua kabisa.
Tumekuwekea matokeo ya michezo ya leo ya EPL kama ifuatavyo.
FT: Chelsea 1-0 Newcastle United
Harvetz 89′
FT: West Ham 2-1 Aston Villa
A. Yarmolenko 70′ Pablo Fornals 82′ na Jacob Ramsey 90′
FT: Leeds 2-1 Norwich
Rodrigo 14′ Joe Gelhardt 90 + 4′ na Kenny McLean 90+ 1′
Southampton 1-2 Watford
Juan Hernandez 14′ 34′ na M. Elyounoussi 45′
Everton 0-1 Wolves
Conor Coady 49′
Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.


