Wachezaji wa Paris Saint-Germain Neymar na Lionel Messi walizomewa kila waligusa mpira na mashabiki wa klabu hiyo wakati wa mchezo wa Ligue 1 dhidi ya Bordeux siku ya Jumapili baada ya kutolewa katika amshindano ya Ligi ya Mabingwa.

Mashabiki wa PSG walikasirishwa kuondolewa kwenye Champions League na Real Madrid katikati ya wiki kwa jumla ya mabao 3-1 ingawa PSG walikuwa mbele mpaka kipindi cha kwanza kilipoisha na wakidai Messi na Neymar wameshindwa kuisaidia timu kusonga hatua inayofuata.
Kelele zilianza kusikika pale majina ya Neymar na Messi yalipotangazwa huku seti zote za wachezaji zikiwa zimepangwa kabla ya mchezo kuanza, na kuendelea katika dakika 30 za kwanza.
PSG iibuka na ushindi wa 3-0 katika mchezo huo siku ya Jumapili mabao yaliyowekwa kambani na Kylian Mbappe, Neymar na Parades
Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.


