Lionel Messi ameibuka namba moja kwenye orodha ya wanamichezo wanaolipwa pesa ndefu ulimenguni hii ni kwa mujibu wa Forbes.

Dili za matangazo nje ya uwanja, pamoja na dili nono huko Parc des Princes, umemruhusu mshindi huyo mara saba wa Ballon d’Or kumpita gwiji wa NBA, LeBron James kwenye nafasi ya kwanza kwenye orodha inayomjumuisha pia mshambuliaji wa Manchester United, Cristiano Ronaldo na fowadi wa PSG. Neymar.

Wanamichezo mashuhuri kutoka katika michezo mbalimbali kama vile mpira wa kikapu, NFL, tenisi na ndondi wanakamilisha 10 bora.

  1. Lionel Messi – $130m/£107m (Mchezaji wa mpira wa miguu)
  2. LeBron James – $121.2m/£99m (Mchezaji wa mpira wa kikapu)
  3. Christiano Ronaldo – $115m/£94m (Mchezaji wa mpira wa miguu)
  4. Neymar – $95/£78 (Mchezaji wa mpira wa miguu)
  5. Stephen Curry – $92.8m/£76m (Mchezaji wa mpira wa kikapu)
  6. Kevin Durant – $92.1m/£75m (Mchezaji wa mpira wa kikapu)
  7. Roger Federer – $90.7m/£74m (Mchezaji wa Tenis)
  8. Canelo Alvarez | $90m/£74m (Bondia)
  9. Tom Brady | $83.9m/£69m (Mchezaji wa Mpira wa miguu wa Amerika)
  10. Giannis Antetokounmpo | $80.9m/£66m (Mchezaji wa mpira wa kikapu)

TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa