Klabu ya AC Milan wanataka kumsajili moja kwa moja mchezaji wa Chelsea Fikayo Tomori ambaye yupo na miamba hao wa Italia kwa mkopo  Stefano Pioli amethibitisha.
Milan Wanogewa na Tomori, Wanamtaka Mazima
Fikayo Tomori

 

Tomori alitua Milan kwa mkopo mwezi Januari baada ya kuachwa katika kikosi cha The Blues huko Stamford Bridge kabla ya kugundua ubora wake huko San Siro.

Beki huyo wa miaka 23 alikuwa nguzo muhimu kwa mara nyingine katika ushindi wa 3-0 dhidi ya mahasimu wao Juventus siku ya Jumapili na pioli ameelezea baada yamcheoz huo kumalizika klabu imeazimia kutimiza kipngele cha kumnunua moja kwa moja kwa dau la £26 million ($37m).

“Tunataka kumnunua Tomori kwa dili ya kudumu kutoka Chelsea,”  Bosi huyo wa Milan aliwaambia Maripota. “Dhamira yetu ipo wazi na pia ni maamuzi ya Fikayo ( Kukaa Milan) Tutaona itakuwamwsiho wa msimu.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Milan, Milan Wanogewa na Tomori, Wanamtaka Mazima, Meridianbet

CHEZA HAPA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa