Mourinho Hana Presha Juu ya Hatima Yake Spurs.

Jose Mourinho amepoteza michezo mitatu mfululizo akiwa na Tottenham na timu imeshuka mpaka nafasi ya nane sasa hatima yake ndani ya timu hiyo ya Premier League imekuwa katika viulizo.

Spurs ilipanda mpaka kileleni mwa ligi miezi miwili iliyopita, lakini imeshuka kiwango na safu ya ushambuliaji imekuwa haiko vizuri kwa sasa.

Majeraha ya Harry Kane ya hivi karibuni walipopoteza kwa 3-1 dhidi ya Liverpool hali hiyo imechangia katika matatizo ya Mourinho yanayoendelea, ingawa hayupo katika shaka ya kupoteza kibarua . Spurs itakosa subira ikiwa Mourinho atapoteza lakini Mourinho amejitokeza na kutetea nafasi yake kwa kusema bado anaweza kutwaaa taji msimu huu.

“Naweka presha juu yangu mwenyewe,” Mourinho aliwaambia maripota baada ya kupoteza kwa Chelsea 1-0 wakiwa nyumbani. “Sitaki mwingine kuweka presha kwangu kilasiku. Tangu mwaka 2012 bila vipigo vitatu mfululizo? lakini kuanzia bhapo bila taji? Labda naweza kuleta moja.

Spurs wanajiandaa kukabiliana na Wets Brom katika mchezo wa Prremier League ambao wamekuwa na uchu wa kupata alama ili wajitoe katika mstari wa kushuka daraja na kurejea katika Championship.

“Kitu muhimu kwa sasa ni mchezo na West Brom,” aliongeza Mourinho. ‘sihitaji kufikiria Everton au Manchester City.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

10 Komentara

    Vizuri

    Jibu

    Timu kama imemshinda

    Jibu

    Mourinho tatizo anajiamini Sana arafu anajisahau

    Jibu

    Kujiamini ndiyo kila kitu

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Mourinho anajiamini sana wakati anafanya vibaya

    Jibu

    Mourinho kujiamini kumepitiliza

    Jibu

    Mhh Maurinho simuelewi

    Jibu

    Kujiamin tu ndo nachompendea

    Jibu

    Kujiamini ndio kila kitu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.