Kocha mkuu wa klabu ya Inter Miami Phil Neville ni kama ameyapenda maisha ya Frolida  kwani amekiri kwamba anatarajia kukaa kwa muda mrefu katika nafasi yake huko Major League Soccer.

Kocha huyo wa zamani wa Lionesses anatarajia kujenga falsafa yake ya uchezaji wake wa muda mrefu katika klabu ya Fort Lauderdale, huku akitarajia kuimarika katika msimu wake wa pili.

Neville ambaye aliwahi kuichezea klabu ya Manchester United kama beki aliiongoza Inter Miami kumaliza nafasi ya 11 katika Eastern Conference kwa mwaka wake wa kwanza.

“Tumejitolea, hatuondoki hata kidogo,” alisema Neville, katika hafla ya uzinduzi wa msimu mpya wa MLS. “Hatuna nyumba au mali nchini Uingereza, hakuna kitu cha kurudi nyumbani mbali na familia.

“Tunapenda kuishi Marekani na sisi kama familia, na mimi binafsi, tunataka hii iwe na mafanikio. Nataka maisha marefu katika jukumu hili. Nadhani hakuna kitu bora kuliko meneja kwa muda mrefu.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa