Kiungo wa Spain Pedri amesaini mkataba wa muda mrefu na klabu ya Barcelona ambao utamuweka Camp Nou mpaka mwezi Juni 2026 ambapo mchezaji huyo wa Spain atakuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha The Blaugrana kwa miaka kadhaa inayokuja.

Pedri alitua Barcelona majira ya joto mwaka 2020 akitokea La Palmas na mpaka sasa tayari amecheza michezo 52 na Koeman amekuwa akimtumia zaidi akifuatiwa na Frenkie de Jong na Antoine Griezmann.
Mchezaji huyo wa maiaka 18 ametajwa katika majina 30 ya wachezaji wanao wania tuzo ya Ballon d’Or mwaka 2021 baada ya kuzoea haraka mtindo wa uchezaji wa Barcelona.
Kimsingi Barcelona imuelewa sana kinda huyo hali iliyopelekea wamfunge kwa mkataba wenye thamani ya Euro Billion 1, kubwa zaidi kuwahi kufanyika katika klabu.

Pedri ni moja ya wachezaji ambao wanavipaji vikubwa ndani ya Barcelona kwa sasa na Koeman angependa kuwanao wachezaji hao ni kama Ansu Fati, Ronald Araujo na Gavi.
Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

CHEZA HAPA

