Pep Guardiola: Nilitumiwa Ujumbe na Furgeson Kabla ya Mechi

guardiola

Pep Guardiola alifichua kwamba alipokea ujumbe kutoka kwa Sir Alex Ferguson asubuhi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa-UCL. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Kocha huyo wa Manchester City aliingia katika mpambano huo mjini Istanbul akitumai kufuata nyayo za gwiji huyo wa Manchester United, ambaye alifanikiwa kuchukua makombe matatu kwa msimu mmoja “treble” mwaka 1999.

Baada ya City kushinda Ligi Kuu na Kombe la FA wiki za hivi karibuni, walipewa jukumu la kuwashinda Inter Milan ili kupata nafasi ya kuiga mafanikio ya United, jambo ambalo walifanikiwa kwa ushindi wa 1-0 nchini Uturuki. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Ingawa City na United ni wapinzani maarufu, heshima kati ya Guardiola na Ferguson inaonekana, huku kocha wa zamani wa Barcelona na Bayern Munich akimtazama sana gwiji huyo wa Scotland kama mfano wa kuigwa.

Kwa hiyo baada ya kulinganisha mafanikio yake ya kushinda mataji matatu, Guardiola alijawa na sifa ya ishara ya Ferguson. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Guardiola alisema: “Ni heshima kwangu kuwa pamoja na Sir Alex Ferguson.

“Nilipata ujumbe kutoka kwake asubuhi ya leo ulinigusa, ilikuwa nzuri.”

Kwa Guardiola, kupata taji la Ligi ya Mabingwa kutamfanya aingie kwenye vitabu vya Man City ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa miaka mingi.

Pamoja na ushindi wa mara tatu pia, hakuna shaka kwamba Mhispania huyo amejiandikisha kwenye kumbukumbu ya moja ya makocha bora wa muda wote, pamoja na Ferguson. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.