Usaijili wa Chelsea na Man Utd Meslier Ataja Mustabali Wake na Leeds

chelsea

Illan Meslier anayelengwa na Chelsea & Man Utd ametoa taarifa kuhusu mustakabali wake na Leeds kufuatia kushuka daraja. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Ni ngumu kwa kweli, “Meslier alisema kupitia kupitia Leeds Live. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

“Unapotoka katika hali kama yetu sijui kama umemwona kocha, klabu yetu iko katika mchakato wa kununuliwa na San Francisco 49ers hivyo ghafla kuna mengi hayajulikani.

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

“Kwa hivyo kwa sasa nina mkataba wangu hadi 2026.

“Baada ya hapo nitalazimika kufikiria juu ya kile ambacho ni bora kwangu ikiwa ni Leeds United au klabu nyingine.” Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.