Pogba na Siri ya Ubingwa wa World CUP 2018

Wakati Ufaransa ya kina Pogba wanaondoka hotelini kwenda kuwakabili Argentina, naizungumzia raundi ya 16 ya kombe la dunia 2018 pale Urusi. Paul Pogba aliwaweka wenzake chini na kuzungumza maneno fulani.
Pogba na Siri ya Ubingwa wa World CUP 2018
Wachezaji wa timu ya taifa ya Faransa wakisherehekea baada ya kuibuka mabingwa wa kombe la Dunia 2018

Leo hakuwa yule bishoo.waliyezoea kumuona na na staili mpya ya nywele kila asubuhi. Leo hakuwa yule mtani waliyezoea kumuona akikata mauno chumbani. Paul Pogba wa leo alikuwa na uso wa kazi.

Aliomba utulivu kisha akasema, “Wanangu! Leo tunataka kuona mashujaa uwanjani kwasababu mimi sitaki kurudi nyumbani leo. Mnenisikia, nimesema mimi sitaki kurudi nyumbani leo usiku”

“Tutakutana hapa usiku wa leo tukiwa na furaha tufanye sherehe. Nataka kama ni kufa, wote tukafie uwanjani lakini hakuna kurudi nyuma na hakuna kurudi nyumbani”

“Sisi ni wanajeshi! Sisi ni mashujaa! Na leo tunaenda kuwaua hao wa-Argentina. Haijalishi kuwa wana Lionel Messi. Tumekuja hapa kubeba kombe la dunia. Lazima tupite ili turudi nyumbani na hili kombe.”

Ufaransa wanaenda uwanjani na kuvuka robo fainali. Maneno kama haya aliyarudia siku ya fainali, mara hii akiongea bila kutukana.

Aliwakumbusha wenzake kuwa, wapo dakika tisini tu nyuma kubeba la dunia. Aliwakumbusha walivopoteza mbele ya Ureno kisha akawaambia,

“Nataka leo baada ya mchezo niwaone mkimwaga machozi. Lakini mmwage machozi ya furaha, si huzuni tena. Sawa?”

Ufaransa wanaenda na kubeba kombe lao la pili la dunia. Mara ya mwisho wanatwaa ndoo ya dunia, ilikuwa miaka 20 nyuma nyumbani kwao Ufaransa.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

8 Komentara

    Vizuri

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Tutaonaa

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Vinzur

    Jibu

    Mawazo poa

    Jibu

Acha ujumbe