Raiola Kuhusu Pogba: Disemba ni Mwezi wa Ndoto

Mino Raiola wakala Kiungo wa Manchester United Paul Pogba, amesema kwamba mchezaji wake atakuwa kwenye harakati za kuihama klabu ya Premier League kwenye dirisha la uhamisho la mwezi Januari.

Raiola Kuhusu Pogba: Disemba ni Mwezi wa Ndoto
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa anatarajia kumaliza mkataba wake huko Old Traford mwezi Juni mwaka 2022 hivyo anaweza kuanza mazungumzo ya awali vilabu vingine kama hatoondoka Januari.

“Ni mapema sana kuongea kuhusu mkataba wa Pogba na Manchester United kwa sasa, acha tususbiri tuone nini kitatokea siwezi kumzuia yoyote kuota ndoto kuhusu yeye.” Raiola aiimbia TMW.

“Disemba ni mwezi wa ndoto na siwezi kuzuia lakini ni vyema kutoongea kuhusu Pogba, kama wachezaji wa zamani wa United hawaongei kuhusu mimi na Pogba hawawezi kufanya kazi tena.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.