Rais wa Paris Saint-Germain Nasser Al-Khelaifi amekana kuhusika na mpango wa Sheikh Jassim Bin Hamad Al Thani kutaka kuinunua Manchester United. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Sheikh Jassim ni mmoja wa wagombea wanaoongoza kuinunua Mashetani Wekundu, pamoja na mwenyekiti wa INEOS Sir Jim Ratcliffe.
Siku ya Ijumaa, gazeti la The Athletic liliripoti kwamba Al-Khelaifi amekuwa na ‘jukumu kubwa’ katika mazungumzo ya kutaka kuinoa Qatar kwa United. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Mkuu huyo wa PSG inasemekana aliombwa na timu ya Sheikh Jassim kwa ushauri kuhusu tathmini ya klabu hiyo, huku takriban paundi bilioni 6.4 ikiwa ni bei inayotakiwa kutoka kwa Glazers.
Al-Khelaifi pia anaripotiwa kuwasiliana na familia ya Marekani kwa nia ya kuwashawishi wa Qatari kuongeza ombi lao. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Hata hivyo, kwa sasa amekana kuhusika na juhudi za Sheikh Jassim huku United ikiendelea kusubiri umiliki wao mpya.
“Paris St-Germain ni klabu yangu ya moyoni, na sina uhusiano wowote na Manchester United,” alisema baada ya mkutano na Chama cha Vilabu vya Ulaya.
“Inanifanya nicheke. Mimi ni Qatari, sawa? Ikiwa watu wataniuliza maoni yangu, nitawajibu kwa uhakika – na ndivyo wanavyofanya.
“Ninazungumza kuhusu mtu yeyote, sio Manchester United pekee. Nitawapa uzoefu nilionao. Ni hivyo.”
Sheikh Jassim aliwasilisha ombi la tano na la mwisho la kuinunua United kutoka kwa Glazers wiki iliyopita. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.


