Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe amekuwa akihusishwa kuhamia Real madrid kwa miaka sasa lakini angalau inaonekana sasa yupo karibu kujiunga na Los Blancos kuliko wakati wowote ule.

Mbappe amekataa kusaini mkataba mpya na PSG na dili yake ya sasa iankwenda kuisha majira ya joto mwakani na sasa Emir wa Qatar ameaanza kuhusishwa kwenye mchakato huo.
Kama RMC Sport ilivyo ripoti siku ya Jumatatu jioni, PSG sasa inazingatia uwezekano wa kumuuza Mbappe kabla ya dirisha la usajili halijafungwa.
Kwa kushangaza, kama Mbappe angehamia Real Madrid, inaweza kuwa na athari kwa mustakabali wa idol wa Mfaransa, mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo, ambaye ghafla atakuwa chaguo kwa PSG.
Real Madrid wamebaki wakisisitiza kwamba wanafikiria tu kumsajili Mbappe, licha ya kuwa na chaguo la kwenda kwenye njia ya kujadili makubaliano na mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland au hata hatua ambayo itamfanya Cristiano arejee Estadio Santiago Bernabeu.
Unawezaje kuikosa hii! Ndani ya kasino za meridianbet kuna mchezo unaoweza kukupa mkwanja mrefu leo hii, Wild Hot 40 ni njia nyingine ya kukufanya milionea, Chagua namba yako na uvune mkwanja.



[email protected]
🔥🔥