Tuchel Anamtaka Christensen Kusalia Darajani

Kocha mkuu wa Chelsea Thomas Tuchel anajua kwamba beki Andreas Christensen yupo njiani kuiacha klabu hiyo ya London lakini anataka mlinzi huyo kubaki Stamford Bridge.

Tuchel Anamtaka Christensen Kusalia Darajani

Christensen ameamua kuwaacha mabingwa wa Ulaya na Dunia mwishoni mwa msimu huu na inaripotiwa kujiunga na klabu ya Barcelona.

Akiongea na vyombo vya habari siku ya Jumatano kuelekea mchezo wa EPL dhidi ya Norwich ambao utapigwa siku ya Alhmaisi Tuchel alisema alipoulizwa kuhusu hatma ya Christenes: “Ipo kwenye shaka, hapana?

“Tunasikia tu uvumi kuhusu hali ya Christensen kwa wiki nyingi hatufurahii kuhusu uvumu huo, sababu tunaona ni bora kwakwe kusalia hapa.

Tuchel alithibitisha kwamba James yupo kwenye shaka ya kukosa mchezo dhidi ya Norwich sababu ya jeraha alilopata katika ushindi 4-0 dhidi ya Burnley wikendi iliyopita.

“Reece James ana tatizo kidogo la misuli baada ya mechi zake tatu zilizopita,” Tuchel alisema.


VUNA MKWANJA NA SHINDANO LA EVOPLAY SPRING AWEKING

Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000  katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.