Thomas Tuchel kocha mkuuwa Chelsea anaamini kwamba The Blues wanaweza kuleta ushindani mkali wa taji la Premier League msimu ujao ikiwa wapo katika harakati za kupunguza gepu lilipo kwa Manchester City.
Manchester City wapo juu katika jedwali la EPL kwa tofauti ya lama 14 wakiwa katika harakati za kutwaa ubingwa wa Premier League, wakati Chelsea wapo katika nafasi ya tano wakiwa wanapambana kufuzu kushiriki Champions League.
Chelsea ya Tuchel iko nyuma kwa pointi 21 City ya Pep Guardiola, ikiwa imemaliza alama 33 nyuma ya mabingwa wa Ligi Kuu Liverpool mwaka 2019-20.
Chelsea imekuwa ikijitahidi kushindania taji hilo tangu ilipofanya hivyo mwaka 2016-17 – timu hiyo ya London ilikuwa na alama 26 nyuma ya City mwaka 2019 na 30 mwaka 2018.
Lakini bosi wa zamani wa Paris Saint-Germain Tuchel, ambaye alichukua nafasi ya Frank Lampard mwezi Januari, ana imani kuwa Chelsea inaweza kufikia kiwango kilichowekwa na City na Liverpool muhula ujao.
“Ukisoma nambari hizi kwa sauti kubwa basi inaonekana sio,” Tuchel alisema kabla ya mchezo wa Alhamisi na Liverpool. “Lakini hatupaswi kupunguza mawazo yetu. Tunapaswa kujaribu na sio kujiandaa kwa visingizio.
“Kiasi cha alama kinaonyesha jinsi pengo lilivyo kubwa. Lakini lazima iwe matarajio ya kuipunguza haraka iwezekanavyo.
Chelsea watakua ugenini kuwafuata mabingwa watetezi wa Premier League Liverpool, katika dimba la Anfiled, vijana wa Tuchel wakiwa na kumbukumbu ya kutopoteza mechi yoyote tangu Tuchel achukue mikoba ya kuingoza The Blues.
Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx
Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.
Ni mawazo mazuri
Vizuri kea mawazo yko
Mtashindaaa
Chelsea waongeze juhudi katika mazoezi
aha wapi
Ni wazo zuri
Itakua vyema sana
Itakuwa vizuri
Itakuwa poa